Banda la Kisasa la kuwekea
kuku wa wiki nne hadi mitetea na majogoo.
Banda hili linarahisisha sana ktk kuwatunza kuku wako kwa urahisi bila ya kusumbuliwa na magonjwa yanayotokana na kinyesi chao wenyewe kwani hawawezi kukikanyaga badala yake kinaangukia kwa chini na wao wakiwa wanasimamia juu ya nyaya laini ndogondogo.
No comments:
Post a Comment