Ndege huyu hufahamika sana na wazungu wa nchi tajiri kwani ndio wengi wao chakula kikuu siku za sikukuu, wanapatikana nasi, ni bata watamu sana kwa nyama na mayai pia yanapatikana. Huyu ni bata aina ya mzinga na ni dume.
Kula nyama ya bata kwa afya bora.
No comments:
Post a Comment