Tuesday, February 28, 2012

Maeneo ya mapumziko

Baada ya kazi ngumu ya kujituma katika kujenga taifa letu ni muhimu sana Mjasiliamali kukumbuka kunatakiwa kuwa na wakati wa mapumziko kwa ajili ya afya yako.
Tembelea maeneo haya huko Znz kupata hali ya hewa laini kwa ubongo wako.

1 comment:

Agape Farms Tanzania Limited said...

Muhimu hakika mapumziko wandugu kwani mwili nao huwa unachoka hata kusogea hautaki lakini tunajilazimisha.

Pangilia mipango na mikakatik yako kwa mwaka ili upate muda wa kupumzika.