Monday, February 27, 2012

AINA ZA KUKU WA KIENYEJI

UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI
Ndege wa kufuga ni kama vile kuku, bata, batamzinga, kanga na bata bukini. Kuku hasa ndio wanaofugwa zaidi na wanapatikana kwa urahisi.

Kuku wapo wa aina nyingi sana duniani. Kwa sasa tunafuga kuku wa kienyeji aina ya;
1. Malawi original
2. Malawi na mchanganyiko wa Mbeya na Singida
3. Rhode Island Red original
4. Rhode Island Red chotara
5. Rhode Island Red na bridi ya Australia
6. Barreck Rock
7. Kuchi Chotara
8. Light Sussex

4 comments:

Agape Farms Tanzania Limited said...

Karibuni wadau kwa maoni yenu juu ya blog hii ambayo inawaletea taarifa mbalimbali juu ya Ufugaji bora wa kuku wa kienyeji, upatikanaji wa vifaranga, kuku wa kienyeji wa Nyama na Mayai.

Maoni yenu ni muhimu kwetu ili tuzidi kuwapa mafunzo na elimu nzuri zaidi.

Karibuni sana.
Welcome all.

Anonymous said...

Nimeipenda sana hii shule ya ufugaji wa kuku, natajajia kupata mengi zaidi katika blog hii siku za usoni. Hongereni sana!

Agape Farms Tanzania Limited said...

Ahsante sana ndugu, karibu.

Mama Joe said...

Habari
mimi nipo Dar na ningependa kuanza ufugaji kuku wa kienyeji, nimefuga kuku wa nyama muda mrefu tu ila napenda kubadili na kufuga wa kienyeji
nitawapataje vifaranga hasa wa hao kuchi au mbegu nyingine nzuri