Tuesday, February 28, 2012

Vifaranga aina ya Kuchi Chotara

Vifaranga aina ta Kuchi Chotara wanastahili mazingira magumu. Majogoo ni makorofi hivyo hutumika kwenye maonyesho ya kuku. Wanaonekana wembamba lakini ni wazito zaidi ya kuku aina ya Malawi

1 comment:

Lilian Chale said...

Kuchi ni kuku bora sana kwa mapigano, kwa wale wanaohitaji Kuchi kwa ajili ya mapambano ya maonyesho au kwa Nyama au kwa Mayai nayo yapo.