Monday, March 5, 2012

Mayai ya Kuku wa Kienyeji

Mayai halisi ya Kuku wa kienyeji ni mayai yaliyo na afya sana kwani yanaongelewa ni yale ambayo kuku wake hawapewi dawa nyingi sana kureta madhara kwa mwili wa binadamu, yana ukubwa mzuri wa kuweza kuliwa kwa kukaanga, kuchemshwa, kuweka kiini katika uji wa mtoto mdogo, kupikia cake nakadhalika; kwa wale wanaopenda mambo ya mapichi basi wanajua zaidi jinsi ya kutumia.

1 comment:

Agape Farms Tanzania Limited said...

Mayai ya ukweli yenye ubora na kiwango. Nayapenda hasa kiini chake kwa kuwekea ktk uji wa mtoto.