Monday, March 5, 2012

Mbolea ya Kuku

Mbolea halisi ya kuku wa kienyeji ambayo haijachanganyika na kitu kingine kwani mbolea hii inakusanywa ktk mfumo wa tofauti kwa kuwa kuku hao wanakaa juu ya waya na kuangushia uchafu wote chini ya kibao ambacho ndipo mbolea hiyo inapokaa mpaka kukusanywa bila ya kumwagikiwa na chakula zaidi au hata maji.

1 comment:

Agape Farms Tanzania Limited said...

Mbolea hii ni nzuri sana kwani kwa kuwekea ktk bustani ya mbogamboga au hata maua ya urembo inastawisha sana.